heavyload JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 925 Reaction score 528 Feb 5, 2017 #1 Naomba kujuzwa kuhusu PRL (recognition for prior learning). Je utaratibu wa kujisajili,lini usajili utaanza kwa mwaka 2017 na ni utaratibu upi unatumika kujisajili. Kwa anayefahamu tafadhali naomba nijuze
Naomba kujuzwa kuhusu PRL (recognition for prior learning). Je utaratibu wa kujisajili,lini usajili utaanza kwa mwaka 2017 na ni utaratibu upi unatumika kujisajili. Kwa anayefahamu tafadhali naomba nijuze