Msaada tafadhali kuhusu hili swali.

Msaada tafadhali kuhusu hili swali.

Jang Bo Go

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2011
Posts
854
Reaction score
253
Habari wadau

Kabla sijapost huku nilituma kwenye uzi wa maswali ila naona wanachelewa kutoa majibu.

Katika local government authorities kuna municipal councils na county councils.

Sasa nauliza COUNTY councils ni zipi hizo?

Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom