Msaada tafadhali - Juma Duni Haji

tonge nyama

JF-Expert Member
Jul 28, 2008
380
499
Wasalaam Wanabodi,

Ninayo heshima kubwa kuwasilisha maombi yangu kwenu kwa yeyote mwenye ile clip ya mh Juma Duni Haji akiimba na kucheza ule mwimbo wa ccm ndembe ndembe.... Kifo cha mendee.... Chaliii. Hivi mheshimiwa huyu niliskia alisharudisha ile kadi ya cdm baada ya lile tukio la chama hicho kuanguka kifo cha mende.

Je swala hilo ni kweli? Mkuu Lizaboni najua wewe maktaba yako ipo vizuri ni matumaini yangu kuwa maombi yangu hayo yatatekelezwa.

Natanguliza shukurani
 
Huyo mzee nami nami nadhani atakuwa na msongo wa mawazo kwani ahadi alizopewa nyingi hazipo tena.
 
Ukiwa mzima wa ubongo huwezi kuwa mwana Cdm kwa sasa

Mzee alifuata pesa za Fisadi
 
Wenye akili timamu wote wapo CCM. CDM wamejaa misukule tu ndo maana hata mambo yao yanaenda shaghalabaghala
 
Juma Duni Haji alishavuta hela yake na amerudi kwenye chama chake. Kule ilikuwa biashara tu
 
Maalim Seif alitafuta njia nzuri ya kumsukuma Mzee Duni Haji nje ya CUF. Jamaa kapoteza uanachama nauongozi ndani ya CUF Na kama akitaka kurudi akubali kuanza upya.
Nikhesabu waliopita kuanzia James Mapalala, Musobi Mageni, Prof. Lipumba, Na sasa huyu Mzee Duni naye tayari yuko mlalo wa chali, kifo cha mende,nyang'anyang'a chaaliiii
Teh teh teh teh teh teh
 
Wenye akili timamu wote wapo CCM. CDM wamejaa misukule tu ndo maana hata mambo yao yanaenda shaghalabaghala
kweli nyerere alaaniwe kwa kuwafukuza wazungu mapema alipopewa uhuru.akawaondoa wakati bado wananch ni wajinga.asingefanya hivyo tusingekua na watanzanja wajinga kias hiki.na mpaka tuelimike wote bado ipo miaka mingi sana.yani kweli ccm kudhulumu kura za watanzania kuua na kuumiza watu ilitu wawe madarakani bado mtanzania anakuja hapa kuwashabikia?alafu mtu huyu utakuta wazaz wake bado wapo kwenye nyumba za nyasi.
 
Ww unafikirbnyumba za nyas zmeletwa na ccm zmeletwa na uvivu wa baba ako wenzake wakienda shule yy anaenda kutafuta makusu acha afie huko manyasini
 
hawa wat sio wa kuchekewa kabisa maana wanafanya iq za watanzania zionekane ndogo zaidi ya kawaida. yaani wanasiasa wanabadili vyama kama mashati hamna maswali?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom