Msaada tafadhali: Jinsi ya kupunguza ukubwa wa makalio kwa mwanaume

Jiamini bwana mbona hayo makalio mazuri tu eti brother!

Bashite anajigamba hapa mjini akipigilia kadeti lake anatikisa kalio kwa madaha mpaka mzee baba akaamua ampe upendeleo wa kipekee kwenye serikali ya awamu ya tano!

We jiamini tu bwana! Kalio safi hilo!

Vimbau mbau kama sisi wenye vikalio kama ndimu hata ukivaa kadeti linaning'inia kwa nyuma.

Kwa ujumla umebarikiwa zawadi ya kudumu!
 
Mimi Nina vi chuchu kama vya binti anaeanza kuvunja ungo since class 5 had I now 21,yrs. sijawahi kuapproach dem wala kugonga maana akiviona aibu yake siyo ya nchi hii .sijui nifanyeje ngoja niwe single tu kuliko kuaibika anaejua dawa tafazali?
 
Back
Top Bottom