proxy JF-Expert Member Jul 3, 2016 1,477 1,346 Jan 14, 2017 #4 Hapo solution ni kuvuta kwa nguvu na kijiokoa tu , haina jinsi
muhomakilo jr JF-Expert Member Jul 28, 2013 14,821 12,887 Jan 15, 2017 #6 Huyu mamba atavutwa nje na kupondwapondwa aisee..
Amrish Puri JF-Expert Member Dec 11, 2016 274 379 Jan 15, 2017 #9 mkonga wa tembo una nguvu kuliko sehemu yoyite nyingine mwilini mwake,hapo nina mashaka na maisha ya mamba
mkonga wa tembo una nguvu kuliko sehemu yoyite nyingine mwilini mwake,hapo nina mashaka na maisha ya mamba
Pastor Achachanda JF-Expert Member May 4, 2012 3,023 1,315 Jan 15, 2017 Thread starter #11 dalaber said: RIP mamba Click to expand... Tena?
Mbimbinho JF-Expert Member Aug 1, 2009 8,328 7,775 Jan 15, 2017 #12 Pastor Achachanda said: Click to expand... Hiki kimamba nacho, au kilivyoona mkonge mdogo ndo kikajichanganya. R.I.P Croc
Pastor Achachanda said: Click to expand... Hiki kimamba nacho, au kilivyoona mkonge mdogo ndo kikajichanganya. R.I.P Croc
Pastor Achachanda JF-Expert Member May 4, 2012 3,023 1,315 Jan 15, 2017 Thread starter #13 Mbimbinho said: Hiki kimamba nacho, au kilivyoona mkonge mdogo ndo kikajichanganya. R.I.P Croc Click to expand... Usijali
Mbimbinho said: Hiki kimamba nacho, au kilivyoona mkonge mdogo ndo kikajichanganya. R.I.P Croc Click to expand... Usijali