tonylast
Member
- Jun 26, 2019
- 70
- 46
Habarini wana jukwaa hapa JF doctors
Kwanza napenda kutoa salaam za pole kwa msiba mkubwa uliolikumba taifa letuu..
Niende moja kwa moja kwenye mada husika ,
Labda naweza kupata msaada kutoka kwa
Madaktar hapa JF ,
Huwa inanitokeaa napata choo yenye damu mara kadhaa wa kadhaa. Wakati mwingine inakua ni choo imechanikana n'a particle za damu au wakati mwingine inatoka fresh blood ikiwa imejitenga n'a choo .
Issue nyingine ya nyongeza napenda kuuliza hivi kukojoa mkojo unanuka kama sperm ni sawa au naweza kuwa n'a matatizo kiafya...
Msaada tafadhali kwa wenye utambuzi au uzoefu na haya mambo ,tupia maoni yako..