Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,365
- 100,406
Baada ya kustuka usingeruhusu haya yote yatokee, ungesepa bila kuaga. Ona sasa una mawazo ambayo hujajua mwisho wake.
Hapo kusepa kusingemsaidia kitu, maana tayari alishagonga kwa saana tu..!! vitatu, vinne mpaka huyo demu alipopigwa mkanda wa jeshi ndipo walipopumzika. Asukutue mdomo wakati tayari sumu keshameza...??!!
Alidhani huo ujuzi na manjonjo ya chumbani amejifunzia kwake, tena ni mzuri ambaye hajawshi ona.. na wakware wengine yawezekana walishamwona.
kaah! Kwa staili hii anaweza akafa kwa presha kabla hata hajaenda kupima, mnamtisha sana mwenzenu kuweni makini hata maneno pia ni sumu yasije yakamuua
Samahani Mkuu naomba kuelemishwa kidogo, Hii habari ya kuumwa Macho huwa ina uhusiano na na maambukizi HIV? Kuna uwezekano huo? na inaweza kuwa ya kwanza kabla ya magonjwa yale nyemelezi? Vipi kuhusu makovu nayo Mkuu uhusiano na HIV nao ukoje? hakuna ugonjwa/alergy tofauti na maonjwa nyemelezi yanayoweza kusababisha makovu???
Natanguliza shukrani Mkuu. Asante.
Dokta hebu msaidie ni nini tatizo labda.
ha ha haa tatizo hajanyoosha maelezo
Halafuu..wewe ni dokta wa nini!??
Dr wa wanyama akiwemo na binadamu
Ofisi yako iko wapi...nahitaji consultation! U might qualify pia kuwa my family doctor...
office yangu ipo Heaven of peace city... We jichange vyakutosha ukiwa tayari niambie nianze kazi
Mind giving me directions!??