Hii imekaa a bit too coward....chapa karatasi kumueleza hayo na aipate pasi na kujua imetoka kwako.
Sasa itabidi utumie ushahuri wa Babkey: mtumie barua.Niliwahi kuisemea kwa ujumla kwenye tool box meetings za kila asubuhi, kama kwa wiki moja mfululuzo nilikuwa nasisitiza usafi wa ofisi, vifaaa mbali mbali na sisi wenyewe na nikafanya mpango ofisi nzima wakapata uniform mpya lakini wapi! Kwa hali inavyokwenda itabida nifaye kitu tu.
Na kwa sasa na huu mwezi kutwa nzima anakuwa kama anaumwa hivi, mnyongeeeeeeeeeeee kila nikifikiria kumwambia namuhurumia kumkata mudi zaidi. Ila hali sio kabisa yaani
Huna HR wanaoweza kuongea naye vizuri?
ujasiri wa kumueleza direct ndio itakuwa njia pekee ya kusolve tatizo
Libanga na molili, jiwe jizani...Aiseee ngoja nitoke humu labla ajaanza kuchafua mbege yangu;,,,,manake nimeshaanza kusikia harufu chafu kama mbolea ya nguruwe
Sasa akimkaribisha JF na jamaa aje aone hii thread, vile kuna boss alilalamika kuhusu subordinate (tena na details ya actions zake za mwanzo), si atajua tu kua Sokwe Mjanja ndio boss?Ee bana ee mkaribishe jf ...fungua forum iache aisome,mtapata pa kuanzia akisoma comments za madokta wa jeiefu
Natamani ungekuwa ofisin kwetu
ili kukiwa na haja ya kumueleza mtu kitu
'tunakutumia' lol
Natamani ungekuwa ofisin kwetu
ili kukiwa na haja ya kumueleza mtu kitu
'tunakutumia' lol
Ee bana ee mkaribishe jf ...fungua forum iache aisome,mtapata pa kuanzia akisoma comments za madokta wa jeiefu
mkuu hii njia nimekua naitumia ninapokua na jamii imekua inafanikiwa kwa 100%,huwezi amini na kama ni jungu we limwage wote mkiwepo,mambo yanakua shwari kabisa,UKWELI NI UHURU binafs huwa sioni shida ktk hili na huwa sina woga hata kama ni bos namueleza tu maana wote ni binadamu hatuwezi kuwa perfect asilimia zote
Kwanza kabisa mimi ningependa kujua ni aina gani ya BO ambayo jamaa anatoa. Ni kikwapa kikali? Ni kikwapa kilichovunda? Ni harufu ya mdomo? Hiyo harufu inatoka kwenye nguo au kwenye mwili? Au ni combo ya yote hayo?
Pili, haya mambo ya BO ni mambo sensitive sana. Ni sensitive kwa sababu ni risky. Siyo mambo ya kumwambia tu kama vile umwambiapo mtu ambaye hajafunga zipu. Ni lazima uwaze na kuwazua na ufikiri kwa mapana na marefu kabla hujajitosa kumwambia huyo mtu.
Then he comes with his strategy about a divine revelation to help? no thanks!
What about the thread you started few month ago?Kwanza kabisa mimi ningependa kujua ni aina gani ya BO ambayo jamaa anatoa. Ni kikwapa kikali? Ni kikwapa kilichovunda? Ni harufu ya mdomo? Hiyo harufu inatoka kwenye nguo au kwenye mwili? Au ni combo ya yote hayo?
Jibu lakwanza liko hapa:
mwanzoni nilidhani alijisahau akajisaidia ndani ya nguo ila naona ni kila siku na hali inazidi kuwa mbaya.
Pili, haya mambo ya BO ni mambo sensitive sana. Ni sensitive kwa sababu ni risky. Siyo mambo ya kumwambia tu kama vile umwambiapo mtu ambaye hajafunga zipu. Ni lazima uwaze na kuwazua na ufikiri kwa mapana na marefu kabla hujajitosa kumwambia huyo mtu.
Na hapa ndio nilikua nataka nikusome
Lugha mkuu,hajui kiswazi! hapa ofisini wanatumia french na kizungu cha kuunga unga kwa sisi wakuja.