Msaada Taf, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Taf,

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Al Adawi, Aug 22, 2012.

 1. A

  Al Adawi Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Habari zenu wakuu!
  Nina tatizo hapa. Awali nilichakachua modem ZTE mf190, nikawa na-enjoy matumizi yake. Sasa Pc yangu ikazingua ikabidi nifute baadhi ya ma-file ili kurekebisha mambo. Bahati mbaya nilijikuta nimefuta na installation yake modem hii. Baada ya hapo niki-connect modem haionekani,Nimelifuata file kule recycle nimelikuta lakini siwezi kuli-install tena. Nifanye nini kurekebisha tatizo hili?
  Thanx.
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nenda kanunue ya voda na uwe unalipia.
  thax.....

  lete nkutengeneee mwaya...uje usiku lakin ukiwa umevaa nguo nyekundu...
   
 3. A

  Al Adawi Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Wacha mambo zako weye rafiki.. hahah Rose1980 weka maujanja hapa mwanaume nifaidi mambo lol.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  hah aha haahaha....mi abt IT m ova 0
  sjui lolote kaka
  ningekusaidia...
  poyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....:A S-baby:
   
 5. A

  Al Adawi Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  "NAJUA kwamba mimi ni mwerevu na mwenye akili,kwa sababu nafahamu kwamba HAKUNA NINACHOFAHAMU" socrates
  Kwahiyo alikuwa kilaza wa miwsho huyu..lol!!
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  apana.
  kilaza ni yule anayejijua anajua kumbe ajui
  anayejua kuwa hakuna alolijua ni kipanga.....THK BG:sleepy:
   
 7. A

  Al Adawi Member

  #7
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  wote Vilaza basi.. hata anayejijua hajui ni kilaza..the defining point here is "wote hawajui"..ryt?:A S-baby:
   
Loading...