venine
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 1,458
- 1,571
Habari wanaJF,
Nina mpango wa kununua tablet, ila naomba kuweka wazi kwamba sijawahi kumiliki hii kitu. Natarajia kwenda field studies, nategemea kuitumia kwa kiasi kikubwa nitakapokuwa huko. Vigezo vikubwa navyohitaji ni iwe na uwezo wa kutumia sim card (maana vijijini hakuna wireless), na pia kumudu kupiga picha na kurekodi baadhi ya matukio ya huko field na kuweza kutumia MS office.
Kwa sasa nipo nje ya nchi, ukiacha zile brands zenye majina makubwa kama Samsung na Apple, nimeona kuna brands kama Archos, Lenovo, Medion, Logtech zina products za bei nafuu (zinarange Euros 100 -200). Naombeni ushauri, mimi kidogo nipo nyuma kwenye haya mavitu.