Mzalendowavita
Member
- May 13, 2017
- 96
- 36
Naomba mnisaidie nimemaliza diploma ya procurement ktk chuo cha st joseph mwaka 2018 nataka kuendelea ngaz nyingine lakin nashindwa kutokana na taarifa zangu hazipo NACTE na kila ninapo ulizia taarifa zangu pale chuo sipati ushilikiano mzr msaada wenu