Msaada - Taarifa za Muhimu juu ya Safari

Mimi wacha nikusaidie Babati Kondoa Dodoma,
Babati mpaka Kondoa ni 3 hrs kwa Private Car na 4/6 Hrs kwa Basi inategemea na idadi ya abiria njiani ambao watahitimisha idadi ya Vituo.
Kondoa Dododoma ni 3hrs na Private car kwa basi ni 5/6 Hrs inategemea na idadi ya abiria na vituo pia, Hii nia sio nzuri kupita usiku kwani kuna pori linaitwa Mtungutu karibu na dodoma hawawezi kukuruhusu bila escort kuanzia saa 12 jioni.

Kila laheri usisahahu kununua Ndege na njiwa ukiwa njiani kutoka Kondoa kuja Dodoma.
 
tumepoteza umakini kwenye JF kwa sasa. nyuzi kama hizi zilikuwa nyuzi muhimu sana sana na hasa kipindi hiki cha likizo na safari.
 
Back
Top Bottom