mkuu ondoa shaka tililika vizuri na elezea viyuri nikwambie nin?? cha kufanya. je hiyo taa imewaka gafla au ilianza kwa kuflash?? kuwaka na kuzima?? kama inawaka moja kwa moja basi kuna tatizo limejitokeza?? kuna mambo mengi kidogo yanayoweza kusababisha taa hiyo kuwaka?? usiwe na hofu kwani kibongobongo kuna magari mengi tuu yanatembea yanawaka taa hiyo hata zaidi ya miaka 10 na mtumiaji bila kujua kinacho endelea au kilicho endele baini ya fundi na gari yake?? mafundi wengi huwa wana zi lupu na taa ya oil,betri au hata abs. mkuu kabla ya kupewa tiba fumguka vizuri kimaelezo ili usaidiwe siunajua tena sikukuu hiyooo peleka kwa fundi ukaliwe bana?? umpelekee hera ya sikukuuu. taja gari yako nia aina gani?? na ina engine gani?? fanya hivi ukifika tuu home chomoa terminal ya betri 1ja wapo ya negative iache hivyo hivyo mpaka asubuhi lengo ni kufuta kumbukumbu kwenye ecu,control box. na ikifika asubuhi ichomeke terminal na kuwasha gari harafu angalia kama itawaka au laa kama itawaka basi ujue kuna tatizo linaweza kuwa kubwa au laa inategemeana na aina ya gari kuna gari nyingine hata air clener ikiwa chafu taa ya check engine inawaka sababu kwenye air clener kuna sensor inayoitwa air flow au air mass imefungwa. so kwa ishu kama hizo ukimpelekea fundi lazima ukunyooshe kisha anaichukua air clener anakwenda kuisafisha kwa 500 tu na malaki kazaa anatia mfukon??