Wewe ukimuona unayempenda mwambie tu maana hautakufa wala kupungukiwa chochote, ikishindikana na hapo muulize jina lake, ikishindikana kabisa muombe namba yake ya simu, akikataa mpe namba yako ikishindikana na hapo we mfatilie mpaka anapoishi, ukishindikana na hapo tafuta marafiki zake, ikishindikana endelea kujipa moyo huyo manzi ni wako, ikishindikana na hapo mtafute kwenye social networks hasa kupitia rafiki zake, ikishindikana na hopo jaribu kutembelea sehem ambazo huja wahi kutembea una weza ikabahatisha kupata kipenda roho, ikishindikana na hapo nakushauri usipende vitu vikubwa hasa wanawake wazuri, jaribu hata kwa wanawake unaowaona hawana mvuto kwako, ikishindikana na hapo wewe unahitaji msaada wa haraka sana maana utaishia kuwa mwanachama wa CHAWAPUTA