Msaada swali hili la hesabu.... wataalam karibuni

Msaada swali hili la hesabu.... wataalam karibuni

here is the simple solution;
let the number of student in the whole class be x;
((15*28)+(40*(x-15))/(15+(x-15))=35.5
upon mathematical manipulation,x=40;
:. number of student in the whole class is 40;

Chukulia
1: Wanafunzi 32, wavulana 16, wasichana 16
wasichana 15x28=420
msichana 1x76 =76
Wavulana 16*40=640
JUMLA YA ALAMA ZOTE =420+76+640=1136
IDADI YA WANAFUNZI WOTE =32

ALAMA YA WASTANI = 1136/32=35.5

2: wanafunzi 34, wavulana 17, wasichana 17

wasichana 15x28=420
msichana 2x53.5 =107
Wavulana 17*40=680
JUMLA YA ALAMA ZOTE =420+107+680=1207
IDADI YA WANAFUNZI WOTE =34

ALAMA YA WASTANI = 1207/34=35.5

3: wanafunzi 36, wavulana 18, wasichana 18
wasichana 15x28=420
msichana 3x46 =138
Wavulana 18*40=720
JUMLA YA ALAMA ZOTE =420+138+720=1136
IDADI YA WANAFUNZI WOTE =36

ALAMA YA WASTANI = 1278/36=35.5

Kwa hiyo idadi ya wanafunzi ni 32. 34. 36. 38. 40.........., na kuendelea katika mlolongo huo au tuseme kimahesab zaidi kuwa:

N=30+n, where N is the total number of students and n=1,2,3,4,........
Angalia hiyo file ya pdf niliyoweka hapo juu ina kila kitu
 
Back
Top Bottom