Msaada Sumsung Note III

Msaada Sumsung Note III

Kaputula La Marx

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
562
Reaction score
500
Natumai mu wazima wa afya.
Simu yangu ina shida kila napotumia facebook kwa muda mrefu simu inazima ghafla na kuwaka tena. Tatizo hili huambatana na simu kuchemka.
So kwa anayefahamu nin tatizo naomba msaada wake. Natanguliza shukurani kwenu nyote.
Au kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kurudisha version ya mwanzo
 
jaribu JF kwa muda mrefu,

ikishindikana muone daktari
 
Natumai mu wazima wa afya.
Simu yangu ina shida kila napotumia facebook kwa muda mrefu simu inazima ghafla na kuwaka tena. Tatizo hili huambatana na simu kuchemka.
So kwa anayefahamu nin tatizo naomba msaada wake. Natanguliza shukurani kwenu nyote.
Simu yako ni android version ipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom