Msaada :Soko la soya hapa nchini.

tzhumoally

JF-Expert Member
Mar 20, 2015
412
156
Wakuu mwenye uelewa naomba kujuzwa,kuna kaka yangu yupo nchi jiran ya malawi anafanya biashara ya kuuza nafaka,sasa kule soya inapatikana kwa wingi kwahio sahv ameniambia nimuulizie huku sehemu gani wanakua wananunua kwa wingi?anataka alete tanzania maana ameambiwa kuna viwanda wananunua kwa wingi,mwenys uelewa naomba aniambie wapi naweza kupata soko.
 
mambo vip? mzigobadoupo tufanye biashara? kama upo tuwasiliane
 
Back
Top Bottom