[/QUOTE]Morning glory inahusika. Na hivi leo hakuna kazi. Hii long weekend lile agizo la kuijaza sunia linahusika nadhani. [/QUOTE BAK hiz nyimbo hiz sa hz asbh asbh unantakia mema kkweli mimi!
ah!nakasirikaga mimi!majimbo yanavutika sana haya!ah
Huyo jamaa ni raia wa congo,na ungemsikiliza vizuri kiswahili chake ni cha kikongo,sema amehamia hapo unapopasema kama miaka 8 iliyopita,namfahamu vizuri, ila ni mume wa mtu kwa hiyo kama ndio madili yako endelea kwa wakati wako ila kama ni mtu unayeheshimu ndoa za watu achana nae.
unanijudge wakati hata hunijui...nimesema simfahamu ulitegemea niote ndotoni kama ameoa? Na kiswahili chake nimekiskia najua si mtanzania!!
Siku kadhaa zilizopita nimepanda basi nikakutana na kijana moja ambae ndo alikuwa dereva...akatabasamu nikahisi kama alitaka kusema kitu akashindwa..ila the way he looked at me felt like almost he knew me or he knew something about me and i didn't know him...sikujua kama anaongea kiswahili...mm nilikuwa na mwanangu nikamsemesha nikamwambia abonyeze stop..mtoto akafanya hivo basi to my surprise yule mwanaume akaanza kuongea kiswahili usisahau nipo ughaibuni..Since then sikuweza kumtoa kichwani its like i have a crush on him na hata simjui...
Siku nyingine nikakutana nae tena..akanisalimia habari nikamjibu lkn sikuweza kusema chochote zaidi ya kwenda kukaa kwenye siti yangu..well wat happened is tht alikosea kuendesha buss kwenye route alokuwa akitakiwa aendeshe ikabidi aambiwe mbona unakoenda siko akasema samahani nimesahau..akazungumza lugha moja ya kigeni ambayo sio ya nchi hii nilokuwepo...na ofcoz sijawahi kumuona hapa before nahisi ni mgeni...sijui hata nimuapproach vipi coz nikimuona napata ganzi..na kila nikikutana nae ni kwenye basi sipati nafasi ya kuongea nae..in 27 years of my life this is the second time i feel this way..PLEASE HELP SITAKI KUFA NA TAI SHINGONI!!:biggrin:

sasa we kumchokoza Kiranga na Nyani Ngabu kwa pamoja!unafikir sipaswi kukimbia mie!
manake huyu akitoa cha kwa malkia yule anatoa cha brooklyn sijui!ah mi staki bana!
si ndio mana nilimwonea huruma shosti yangu King'asti muke ya mukubwa!Sasa wewe unaongelea cha malikia umeshawahi kumfumania Kiranga akiongea kiswahili fasaha..??
Chakarika kivyako vyako!!!
[/QUOTE BAK hiz nyimbo hiz sa hz asbh asbh unantakia mema kkweli mimi!
ah!nakasirikaga mimi!majimbo yanavutika sana haya!ah
Kamatia Teja banaaa!!! Kwanini uteseke na Teja yupo pembeni!? lol!
:fencing::fencing::fencing:
ahahahahhahahhahah haya bana mi leo chichemi!

lol! Umekuwa Bubu leo eeh!?:tape2::tape2: :tape2: Haya banaaa...Mie niko bomba sana ππ...Natumai nawe umzima wa afya ukiondoa..:tape2::tape2::tape2 :
una hamu ya kulia BAK we ngoja!
cc @fP
hahahahaha lol!
:yo::yo::yo:
hauna wimbo wowote wa homesick huko kwenye kabrasha lako!sijasema wa missing au nini nimesema wa homesick!basi hata ule wa nameless wa narudi nyumbani!

Najua unamiss tabasamu la Teja, pole sana safari njema kuelekea maskani ππ..huo wimbo mwingine fundi mitambo bado wanausaka lol!!!
see!
alosto mchezo!

huu sasa umwendee mheshimiwa teja langu popote alipo! BAK fkisha hizo salamu!
af we tunachakachua uzi wa watu kama kawaida yetu tukikutana!mi staki kesi bana!
Najua unamiss tabasamu la Teja, pole sana safari njema kuelekea maskani ππ..huo wimbo mwingine fundi mitambo bado wanausaka lol!!!
see!
alosto mchezo!
umesema ulikuwa na mwanao, so huyo uliyezaa naye ni aje?