Simu yako ina mavideo ya ngono tu,
Unakaa kijiweni huna kazi ya kufanya,
Kazi kuongea ushenzi na kutafuta marafiki kwenye miyandao ya kijamii,
Huna familia ambayo itakufanya ufikirie majukumu,
Huna mtoto,
Huna mke,
Unakula kwa baba,
Unalala kwa baba,
Hulipi kodi,
Nguo unanunuliwa,
Kazi yako wewe ni moja tu "kuchart"
Then unakuja JF kusumbua akili za watu eti "SIRIDHIKI NIKIFANYA MAPENZI"
Pumbafu zako.... Tafuta majukumu uone kama utapata huo muda wa kuwa na wanawake zaidi ya watatu...
Tena ukome kuja kusumbua watu Shenzi wewe!!!