Msaada: Siridhiki kufanya mapenzi

Msaada: Siridhiki kufanya mapenzi

Wew mim tatzo c kwamba cna kaz tatz nmeshajarbu kufany mazoez wap tena nahis ndo yanachochea sana Kwan nkichoka nakuwa na ham npge kmj ndo nlalee
Jaribu kuikataa wewe mwenyewe hiyo hali. Siku zote tiba huanza na mhusika. Hata kama ukipewa dawa au njia ya kuacha kama wewe binafsi hujakubali kuiacha haitakusaidia.
 
Broo punguza ukali wa maneno we umejuaje nko kwa baba
Tena ukome kusumbua watu, maana unapoelekea utasema ata ukiwa chooni unakunya unajisikia hamu ya kupiga kimoja ndio mavi yatoke.
 
Wana JF,

Kuna kitu kinanisumbua kwa muda mrefu sasa nimekuwa na tatizo yani nafanya mapenzi kupata kiasi siwezi kumaliza siku mbili hata nikiacha kufanya.

Niko radhi nipige hata punyeto yani nahisi hata nina majini sina raha kuna siku naweza kufanya hata nawanawake 3 tatizo limekuwa sugu siwezi kuwa na girl mmoja hawezi kunvumilia sasa tatizo sijui ni nini.

Naomba msaada jamani litakuwa tatizo gani.
Ni kujiendekeza tu. Your self control button is stacked.
 
Omba Mungu akusaidie..kwa nguvu zako utakesha tu!! Na uweke nia kua unataka kuacha huo mchezo!
Mabadiliko yanaanza na wewe mwenyewe! Mungu akutanguliee
 
haina haja ya kufanya kosa mwambie tu aende segerea au ukonga aombe akae mule ndani kwa muda anaotaka mwenyewe na hakuna kuomba kutoka mpaka muda ufike na awe treated kama mfungwa akitoka atakuwa amepona tayari
minimum six months
Humtakii mwenzako mema
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wana JF,

Kuna kitu kinanisumbua kwa muda mrefu sasa nimekuwa na tatizo yani nafanya mapenzi kupata kiasi siwezi kumaliza siku mbili hata nikiacha kufanya.

Niko radhi nipige hata punyeto yani nahisi hata nina majini sina raha kuna siku naweza kufanya hata nawanawake 3 tatizo limekuwa sugu siwezi kuwa na girl mmoja hawezi kunvumilia sasa tatizo sijui ni nini.

Naomba msaada jamani litakuwa tatizo gani.
Pole sana mkuu...!
Story yako imeakisi upande umoja wa maisha yangu.
Katika any psychological problm kwa binadam suluhisho lake ni kuongea na mtu face to face umwambie.
Mfano. kama una uraibu wa Kupiga punyeto (addiction) basi mtafute mtaalam au hasa mtu wa kawaida unaemwamini mwambie, kitendo cha ww kuexpose tabia yako kwa mtu mwengine kitaongeza level of conciousnes kwenye brain yako.
So everytime ukitaka kupiga punyeto brain yako itakwambia kuna mtu anajua kuwa unapga!! This leads to self-control!!
 
hata mimi nilikuwa na shida hiyo ilifikia sehemu madem saba kwa siku times wiki . hela zooye nikawa napeleka hiko kugonga goli 12 ilikuwa kawaida.SOLUTION nikajiuliza mwenyew nikapata kati ya wale wote nilikuwa nao nikaangalia yupi mwenye tabia kama zangu za kupenda mapenzi sana, tukashauriana nikaoa huyo huyoo ndo nipo nae mpaka leo. OA ndugu tena dem mwenye pepo kama lako mtawezana sana.
 
You are not sex a addict.
Fanya mazoezi, Uwe na kitu kitakacho kuweka busy... Punguza Kunywa Nia na nyuma. Uangalie mazingira Yako ya kazi yakoje..
You should fall in love with a right person.
Marring is a good idea..

Angalia movie ya the escort
 
Wana JF,

Kuna kitu kinanisumbua kwa muda mrefu sasa nimekuwa na tatizo yani nafanya mapenzi kupata kiasi siwezi kumaliza siku mbili hata nikiacha kufanya.

Niko radhi nipige hata punyeto yani nahisi hata nina majini sina raha kuna siku naweza kufanya hata nawanawake 3 tatizo limekuwa sugu siwezi kuwa na girl mmoja hawezi kunvumilia sasa tatizo sijui ni nini.

Naomba msaada jamani litakuwa tatizo gani.
angalia aina ya chakula unacho kula pia utakua huna muda wa mazoezi,Anza kufanya kazoezi asubuhi na jioni na kula vyakula visivyo na FAT utaona majibu,hizo nguvu za kungonoka n=hamishia kwenye kazi ngumu kama kilimo au mazoezi
 
Vyakula tusaidie kutaja kwa faida ya wengi,visivyo vya wanga/Fat ni vipi?
 
Hiyo hali imekuanza lini? Namaani tangu ubalehe au huku ujanani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom