The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,322
- 6,878
Samahani mkuu kuna sehemu nimetukana kwaniKama ungetumia tafsida ingependeza sana. Sii wote watakua wapenzi wa matusi humu
Baki hivyo hivyo.Wakuu nimekua najitafakari jinsi nilivyo na hulka ya kuchukua mazungumzo kwa mfano ni kawaida kuona watu wanapiga story au wanabishana labda mpira kwa muda mrefu hata masaa kadhaa wanaongea na kuongea.
Au utakuta mtu anasema anaenda kupiga story na jamaa zake au marafiki wakati kwangu ni kinyume kabisa, Sipendi kuongea mda mrefu yani hata nikiongea na mtu hua nataka aende moja kwa moja kwenye mada pap pap chap mazungumzo yaishe,
Utakuta mtu anakupigia simu hallo..., hallo,
habari..., nzuri
Mzima wewe..., Mimi mzima
Za masiku..........
Yani hata watu ambao najua ni waongeaji kwa makusudi kabisa hua nawakwepa kuepusha kuongeleshwa. Sasa nashangaa watu wengine hufurahia wawapo na watu waongeaji utasikia " Yani Fulani muongeaji, au ana story nzuri"
Imefika hatua sipokei simu kabisa mtu akinipigia naacha simu iite mpaka ikatike alafu namtumia text kuulizia anasemaje.
In short napenda ukimya nikifanya mambo yangu tu bila mazungumzo na mtu, pia naona amani nikiwa tu peke yangu kwangu mazungumzo ya watu naona ni makelele na bugdha.
Wakuu huu udhaifu wakuchukia maongezi na kuongeleshwa umeshanipotezea fursa kadhaa pia baadhi ya watu huniona naringa.
Naepukaje hii hali au na Mimi nazoeaje kuongea na kufurahia maongezi na watu wengine ??!
Sasa hapa tu mbona ushafanya maelezo marefu tayari?Wakuu nimekua najitafakari jinsi nilivyo na hulka ya kuchukua mazungumzo kwa mfano ni kawaida kuona watu wanapiga story au wanabishana labda mpira kwa muda mrefu hata masaa kadhaa wanaongea na kuongea.
Au utakuta mtu anasema anaenda kupiga story na jamaa zake au marafiki wakati kwangu ni kinyume kabisa, Sipendi kuongea mda mrefu yani hata nikiongea na mtu hua nataka aende moja kwa moja kwenye mada pap pap chap mazungumzo yaishe,
Utakuta mtu anakupigia simu hallo..., hallo,
habari..., nzuri
Mzima wewe..., Mimi mzima
Za masiku..........
Yani hata watu ambao najua ni waongeaji kwa makusudi kabisa hua nawakwepa kuepusha kuongeleshwa. Sasa nashangaa watu wengine hufurahia wawapo na watu waongeaji utasikia " Yani Fulani muongeaji, au ana story nzuri"
Imefika hatua sipokei simu kabisa mtu akinipigia naacha simu iite mpaka ikatike alafu namtumia text kuulizia anasemaje.
In short napenda ukimya nikifanya mambo yangu tu bila mazungumzo na mtu, pia naona amani nikiwa tu peke yangu kwangu mazungumzo ya watu naona ni makelele na bugdha.
Wakuu huu udhaifu wakuchukia maongezi na kuongeleshwa umeshanipotezea fursa kadhaa pia baadhi ya watu huniona naringa.
Naepukaje hii hali au na Mimi nazoeaje kuongea na kufurahia maongezi na watu wengine ??!
Nimeeleza kwa kina sijatoa maelezo marefuSasa hapa tu mbona ushafanya maelezo marefu tayari?
Nimeeleza kwa kina Wala hakuna porusHupendi mazungumzo marefu na alafu wewe unatuandikia thread ndefu
Maelezo marefu.Nimeeleza kwa kina sijatoa maelezo marefu
Ulitumia tusi kwa kuandika kum**ae katika uandishi, sasaiv naona halipoSamahani mkuu kuna sehemu nimetukana kwani