Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,202
- 1,296
Sijakosea kuleta huu Uzi kwenye jukwaa la mahusiano na si jukwaa la afya.
Mimi ni kijana 29yrs, nimekuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti, na kitandani nilikuwa vizuri sana kitandani.
Mwaka 2020 nilipoteza kazi, nilipata mawazo makari Sana yaani makali, ilipelekea Hadi moyo wangu kutanuka kwa mawazo na ma pressure Kama yote..
Kipindi icho ndo nilikuwa kwenye penzi Moto Moto na mrembo mmoja,. Yaani huyu dada ni mzuri aswaa. Basi kutokana nilikuwa natumia medication za pressure, aisee kitandani niliyumba Sana, napiga bao moja Tena la chap, baada ya hapo hisia zote zinakata yaani zinakata kabisa,Daaa aibu ya kuta mtu
Basi nilisafiri na kuishi mkoa tofauti na mrembo wangu, nipo nafanya bihashara, bihashara haiendi vizuri yaani nkiwaza kidogo ma stress Kama yote Basi hizo stress zinanitesa yote.
Wiki iliyopita nilikuwa na baby wangu, wiki iyo nilikuwa na stress Kama zote, nilikuwa na appointment ya kukutana na baby wangu . Siku iyo nilipiga kimoja Cha chap, afu mashine ikalala mazima. Daa aibu Kama zote
Bado mpenzi wangu ananivumilia, pamoja ni iyo Hali yangu,
Daa wakuu nipe Ushauri au dawa nifanyeje niweze Rudi kwenye hali yangu ya kawaida?
N.b mwandiko mbaya ka simu kameharibika