Mi ni mwanaume Mimba zangu zote ninazompa mke wangu zinatoka nahis nimefanyiziwa na mwanamke ambaye nimewahi kutembea nae kabla sijao nifanyeje. mimba 4 zmetoka sielewi au nimelogwa.! NIMEFANYIZIWA MWANAMKE MIMBA ZOTE ZINATOKA USHAURI WAKO
umewahi kwenda hospital kucheki hilo tatizo lako mkuu au umewaza mambo ya kufanyiziwa tu
hahaaa mie mwenyewe atakaeniacha namfanyizia....
Unajua zile za kuchimba biti...ukute bidada alimtisha tu sasa yamemkuta ya kumkuta ...anakumbuka alichoambiwa...
hahaaa mie mwenyewe atakaeniacha namfanyizia....
kuna sababu kadhaa ambazo zinasababishaMi ni mwanaume Mimba zangu zote ninazompa mke wangu zinatoka nahis nimefanyiziwa na mwanamke ambaye nimewahi kutembea nae kabla sijao nifanyeje. mimba 4 zmetoka sielewi au nimelogwa.! NIMEFANYIZIWA MWANAMKE MIMBA ZOTE ZINATOKA USHAURI WAKO