Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,220
Haha mpe hongera kweli kwa kulea mkumbushe sasa hivi tupo kwenye s8....iyo simu niliitumia 2013....zinazingua kwel kweli
jaribu kufanya factory reset bonyeza kwa pamoja
cha kuongezea sauti, cha kuwashia simu, button ya chini ya home key.
ikiwaka na kuonesha hayo maneno achilia cha kuwashia simu huku unaendelea kushikilia cha kuongeza sauti na home button.
itaingia kwenye recovery mode, tumia cha kuongeza sauti kwenda juu na cha kupunguza kwenda chini na cha kuwashia kama ok
-wipe data
-wipe cache
-wipe dalvik cache
halafu reboot simu uone kama itakubali.