Msaada;simu yangu tecno wx..imebadilika maandishi..

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,138
22,507
Jamani simu yangu techno imebadilika maandishi ..yaani umekuwa mwandiko ule wakuremba ..me imenishinda naombeni msaada wataalamu humu
 
Kwa Tekno hiyo kawaida sanaa hapo subiri ianze ku-stuck stuck na kujiwasha tochi mchana au kujiweka flight mode wakati ukizungumza na mtu ndo utajua Tecno siyo simu.
 
Tatizo manakalili...nahisi hizo ni tecno matoleo ya zamani
 
Kwa Tekno hiyo kawaida sanaa hapo subiri ianze ku-stuck stuck na kujiwasha tochi mchana au kujiweka flight mode wakati ukizungumza na mtu ndo utajua Tecno siyo simu.
Loo kuna watu wanamanenoabovu we acha tu
 
kuna watu huwa mnamajibu yanasubiri maswali tu, sasa sijui uliwaza nin. Nimecheka sana usiku huu
Hahah hilo ni tatizo sugu kwny techno mkuu,soon jamaa atakuja kuleta uzi hapa kuhusiana na tatizo hilo mkuu.
 
Kama bado hujatatua tatizo lako, inaonekana kwenye simu za Tecno kuna app inaitwa Hi-Theme ambayo inaweza kubadilisha font ya simu, itakuwa kuna jinsi ulichagua font mojawapo au mtu alikuwa anachezea. Kubadilisha itabidi ufungue hyo app ubadilishe font nyingine.

Jaribu tutorial hii

Au hii ya kwanza na ya pili kutoka youtube
 
asante Sana mkuu nimechange ..
 
Back
Top Bottom