Msaada: Simu yangu nikiingia Facebook inazima na kuwaka!!

Msaada: Simu yangu nikiingia Facebook inazima na kuwaka!!

Kwa uelewa wangu mimi nijuavyo na uchunguzi niliofanya kwakuwa hata mimi ninatumia samsung galaxy s3 imewahi fanya huo mchezo nikaitoa kabisa icon ya fb nikawa nafungua browser kama google chrome kisha naenda kujisign in kwa fb au operamin nikitumia njia hizo ile tabu sikuweza kuionatena ila juzi nimerudisha icon ya fb kwa sasa natumia kawaida tu wala haifanyi tena ule ujinga
Kwa hiyo mkuu hili tatizo hata nisipoflash litaisha lenyewe nitie lwenye browser tuu
 
Hii kitu ni virus ilinikuta mimi kwenye huawei ni kafrash nilipodownload fb tu ikajirudia mpaka simu ikafa
hata mimi tatizo hilo lipo limeanza hivi karibuni...nikiingia fb inarestart...
huawei g 750...[emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom