Msaada: Simu yangu inazima na kuwaka nini tatizo?

Msaada: Simu yangu inazima na kuwaka nini tatizo?

vicent moshi

Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
92
Reaction score
55
Habari wadau simu yangu ni Samsung galaxy tab 4 inazima inakuwa ina re boot na kuzima tena hadi naomva ushauri mafundi wameshanilia pesa nikiondoka tatizo linarudi palepale......
 
Yan mkuu kama inatengenezeka naomba ushauri kwa aliefahamu tatizo ....ni zaidi ya laki tano hakuna wa kuinunua kwa usawa huu mkuuu.....
 
Kama uliipeleka kwa fundi mzuri wa software na hardware ikashindikana.Tatizo litakuwa ni kubwa na itabidi ununue motherhood/circuit nyingine.
 
Jaribu kwenda kwa wale ma dealers wa samsung.Yan mawakala wa samsung huwa kuna mafundi wao.
 
Samsung zina matatizo yake wakuu mpk leo simu yangu imekufa mtandao hausomi kabisa
 
Ngumu kumeza..tafuta mtu umuuzie hata kwa robo tatu ya bei
 
Mm kuna hizi Ads daah kila nikifungua DATA tu hizoo sijui ninazizuia VP hizi ni taabu
 
Yangu ni s6 edge ina tatizo hilohilo nipo mwanza kama kuna fundi naomba tuwasiliane
 
Note 4 yangu ina tatizo hilo pia...
Haya masimu ya Samsung majanga sana.. Nataka nijaribu Iphone nione!!
 
Back
Top Bottom