Msaada: Simu yangu nikiingia Facebook inazima na kuwaka!!

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,965
27,203
Wakuu mimi natumia samsung S.3 .mini!! Tangu juzi imeanza tatizo yaani upande wa f.b (facebook) kama nikikuta comennt au nikigusa file lake cm inazima na kuwaka yemyewe na ikiwaka inaniandikia maneno haya
247716fa50e2a4f45702d8658e4041cb.jpg

Nimejaribu kufuta f.b nikadoungload nyingine lakini tatizo bado ni lile lile tuu!!
Msaada wenu kiufundi tatizo ni nini!!
 
Hii kitu ni virus ilinikuta mimi kwenye huawei ni kafrash nilipodownload fb tu ikajirudia mpaka simu ikafa
 
bora zimekua hizo simu zenu pendwa ingekua ndo tecno inafanya hivyo basi ungeona mapofu mengi sana apa
 
Kwa uelewa wangu mimi nijuavyo na uchunguzi niliofanya kwakuwa hata mimi ninatumia samsung galaxy s3 imewahi fanya huo mchezo nikaitoa kabisa icon ya fb nikawa nafungua browser kama google chrome kisha naenda kujisign in kwa fb au operamin nikitumia njia hizo ile tabu sikuweza kuionatena ila juzi nimerudisha icon ya fb kwa sasa natumia kawaida tu wala haifanyi tena ule ujinga
 
Back
Top Bottom