Msaada: Simu yangu inajiweka Flght mode yenyewe usiku

Mine eyes

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
6,432
7,092
Simu yangu Canon 15 Air..Tecno..

Nimeitumia miezi miwili..tatizo lake..

Ikifika saa sita kamili usiku inakaa flight mode yenyewe..

Sasa hivi siwezi kuongea na wala kutumia video call kwenye Whats'up...inakubali kutuma msg tu...inaleta ujumbe kwamba incoming na video call zimekuwa prevented na wi-fi ..na hata ukiweka on hiyo wi-fi tatizo haliondoki..

Imetizamwa kwenye programe ziko sawa ila tatizo lipo vile vile...
Nime download whats up upya lkn bado.
 
Mkuu labda setting, inawezekana kuna setting zimefanyika bila kujua, kuna vitu umeruhusu Ndio vinaleta matatizo.
Njia hapo rahisi ni kuirecovery, Yaani backup and reset. Itaanza upya kabisa, kama imefika dukani.
 
Naweza kufanza hivyo mwenyewe au mpaka kwa fundi?!
 
Asnte mkuu..

Nimekwenda kwa fundi....imemshinda..akiangalia settings anasema ziko sawa lakini ndio vile vile
Fuata Muongozo...

Nenda
Settings > Battery Lab >AI Smart power-saving > AI smart strategy reminder > turn off (Zima) ili system isi automatic turn off to flight mode mida hiyo...
 
Naweza kufanza hivyo mwenyewe au mpaka kwa fundi?!
Wewe mwenyewe, unahamisha mafaili yote yaliko kwenye phone memory, unapeleka kwenye memory card, ukiacha mafaili kwenye phone memory yatafutika yote. Unazingua setting>system>back up and reset. Unabonyeza unafuta kila kitu, inaanza upya, application zote ulizodownload zinafutika, unaanza upya kudownload, wasap, insta, JF, n. K
 
Shukran mkuu ...

Ngoja nifanye maana nimeharikiwa na mambo mengi sana...
 
Simu yangu Canon 15 Air..Tecno..

Nimeitumia miezi miwili..tatizo lake..

Ikifika saa sita kamili usiku inakaa flight mode yenyewe..

Sasa hivi siwezi kuongea na wala kutumia video call kwenye Whats'up...inakubali kutuma msg tu...inaleta ujumbe kwamba incoming na video call zimekuwa prevented na wi-fi ..na hata ukiweka on hiyo wi-fi tatizo haliondoki..

Imetizamwa kwenye programe ziko sawa ila tatizo lipo vile vile...
Nime download whats up upya lkn bado.

Mambo ya Data management hayo. ingia kwenye data na ufanye settings
 
Shukran mingi sana wakuu..cm imekaa sawa .. sasa hivi napumua..

Najiuliza hawa mafundi wetu huku mitaani ni wa nini mpaka hili limewashinda..
 
Mafundi Baadhi Yao Wana Ujanjaujanja Tu Wakupige Haraka
 
Imekaa sawa baada ya kureset??? Shidaa hapo ilikuwa ni settings tu
Imekaa mkuu... Tena nimefahamishwa humu na wataalam nikafanza mwenyewe...wakati fundi kafanya manjonjo kwa computer na kanijibu vuru vuru tu hata hayaeleweki..

Gf sihami...
 
Na hiv n Tecno unategemea nini
Sikuwahi tumia tecno..ila samsung ilipatwa majanga na kwa kushawishika hasa na camera kwa toleo hili ndio nikanunua..
Lakini hakuna kinachodumu kwa maisha ya sasa..
 
Back
Top Bottom