Msaada: Simu yangu ina stuck/ inakwama sana

Msaada: Simu yangu ina stuck/ inakwama sana

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,167
Reaction score
2,612
Habari za muda huu wadau wa jukwaa hili. I hope mko poa kabisa.

Ngoja niende moja kwa moja kwenye topic, nina simu aina ya Tecno S1, hii simu Tatizo lake kubwa ni ku'stuck au kukwama sana hasa nnapowasha data au WiFi, yaani zile notification zikianza tu kuingia simu inaganda kabisa.

Kwa mfano ukiingia WhatsApp au Instagram inaandika "WhatsApp does not responding, do you want to close it?" Daah imekuwa ikinikosesha raha kinyama yaani maana huchukua hata dakika 40 ili ikae sawa.

Naombeni msaada tatizo eti ni nini hapo?

@NgarenaroBoy
 
Mkuu hio simu ina ram 512mb sahau kuwa smooth

kusaidi tu eka apps mini/go version

-facebook toa eka fb lite
-tumia opera mini browser nzito toa
-youtube go ya kawaida disable etc

siku nyengine kama budget ndogo hakikisha
-ram angalau 1gb
-iwe inatumia android go version nyepesi ya android
 
Mkuu hio simu ina ram 512mb sahau kuwa smooth

kusaidi tu eka apps mini/go version

-facebook toa eka fb lite
-tumia opera mini browser nzito toa
-youtube go ya kawaida disable etc

siku nyengine kama budget ndogo hakikisha
-ram angalau 1gb
-iwe inatumia android go version nyepesi ya android
Shukrani mkuu
 
Nina ufumbuzi wa matatizo ya simu yako njoo WhatsApp ni buree sikutozi hera
 
Back
Top Bottom