mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,694
Wadau ni muda sasa natumia simu hizi za smartphone nilianza na techno na sasa natumia sumsung duos
SM 360H ,
lakini kila nikitumia hizi simu za touch kwenye vidole vyangu wakati naandika sms au nascrow huwa nahisi kuna mvutano mkali sana upo kati ya damu na hizi simu za touch ambao unasababisha vidole vyangu kuumia na inafikia kipindi natumia kila kidole ili kuandika ujumbe kwenye simu na muda huu ninavyoandika nahisi uchungu sana ila nimejikaza tu ili ujumbe uwafikie na wataalamu kama wapo wanisaidie,,
Wataalamu Msaada tafadhali ..!!!