MSAADA; simu yangu htc imezima ghafla haiwaki tena

MSAADA; simu yangu htc imezima ghafla haiwaki tena

van penga

Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
74
Reaction score
4
naomba ushauri nini cha kufanya kwanza kabla ya kupeleka kwa fundi,nilichaji simu usiku ikiwa ON, asubuhi naiwasha haiwaki...nifanyeje?
 
sawa kuingia siyo kwamba ndiyo charge imekolea ama iko fully charged msaada wa pili ni kwamba hizi simu aina ya Android huwa kuna option ya hardware reset angalia kwenye google how to hardware reset htc xxx hiyo xxx na maanisha unaandika model number ya simu yako ambapo huwa unabonyeza volume+ AMA Volume- pamoja na power button ama home key utapata maelezo kutokana na aina ya simu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom