msaada simu yangu haifungui file

msaada simu yangu haifungui file

Landala

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
997
Reaction score
483
wajf poleni na majukumu,naomba mnisaidie jamani nina simu yangu ya mchina aina ya Itel internet ipo fresh,file inaweza kudownload ila tatizo ikiisha maliza kudownload file halifunguki inaandika unsupported format,je nifanyeje ndugu zangu ili simu yng iweze kufungua file,naomba msaada wenu hapo.
 
kaka kila simu na aina ya mafile inayokubali. hayo unayodownload simu yako haina uwezo ya kuyafungua. mara nyingi simu za kichina zinakubali mafile haya

1. picha inakubali jpeg na gif
2. sauti inakubali mp3 na amr
3. video inakubali 3gp
 
nashukuru kwa taarifa chief
 
kaka kila simu na aina ya mafile inayokubali. hayo unayodownload simu yako haina uwezo ya kuyafungua. mara nyingi simu za kichina zinakubali

mkwawa yangu ukishadownload inaandka error fetchng file. ni techo526
 
Back
Top Bottom