yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,920
- 4,177
Nimepelaka kwa fund kasema hana software yake.Peleka kwa fundi tu wakusaidie
Daah mkuu mimi sio mtaalamu wa hizo ishu...Ngoja wajuzi waje aseeNimepelaka kwa fund kasema hana software yake.
Je unahisi tatizo linasababishwa na nini mkuu
Sawa mkuuDaah mkuu mimi sio mtaalamu wa hizo ishu...Ngoja wajuzi waje asee
Hapana haijabadilishwa. Ila nilishajaribu kuirootAngalia kama simu ishawahi badilishwa imei mostly ttzo yanaaanziaga hapo
ingia settings kisha About angalia Model number kisha uipost hapa, naweza kukusaidiaHapana haijabadilishwa. Ila nilishajaribu kuiroot
Ni LG-D855 mkuuingia settings kisha About angalia Model number kisha uipost hapa, naweza kukusaidia
em angalia model namba kwenye stika baada ya kutoa betriNi LG-D855 mkuu
LG-D855 vile vile mkuuem angalia model namba kwenye stika baada ya kutoa betri
haijaandikwa Verizon, At & t au t-mobile?LG-D855 vile vile mkuu
Hapana haijaandikwahaijaandikwa Verizon, At & t au t-mobile?
haijaandikwa Verizon, At & t au t-mobile?
Zinafanana kabisa mkuuPiga *#06# angalia hizo imei namba kama zinafanana na za kwenye about.
Tecno hapana mkuu.Hamia kwa tecno hakika hutopata hayo mauza uza hapo juu
unatumia custom rom ama stock rom?