jobel JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 321 Reaction score 174 Nov 20, 2013 #1 Wanajamvi, habari zenu. samahani, naomba msaada wenu. Nina kasimu ka kizamani samsung GT-S5253, ninashindwa kutuma na kupokea email.Tafadhalini, naomba msaada wenu katika hilo.
Wanajamvi, habari zenu. samahani, naomba msaada wenu. Nina kasimu ka kizamani samsung GT-S5253, ninashindwa kutuma na kupokea email.Tafadhalini, naomba msaada wenu katika hilo.