Msaada: Simu ku-stuck na kujipress yenyewe.

Msaada: Simu ku-stuck na kujipress yenyewe.

Gemini Are Forever

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2019
Posts
1,562
Reaction score
2,776
Habarini,

Rejea title inavyosema. Nina simu yangu ya Android (Tecno Spark III) yenye tatizo kama nilivyoeleza kwenye title.

Ina kama siku ya nne tangu ilivyoanza kuleta shida ambapo ilianza kwa kustuck... Kadri siku zinavyokwenda tatizo linazidi kuogezeka kiasi cha kuanza kujipress yenyewe hadi sasa.

Yaan kwa mfano nikimpigia mtu tukiwa kwenye mazungumzo, utakuta mara inajirecord, mara inapiga namba nyingine n.k..

Kubwa zaidi imeweka rangi mbili tofauti kwenye display.. (Nusu ya kioo/display inaonyesha vizuri na upande mwingine imeweka rangi/kivuli cheusi).

Je, tatizo laweza kuwa nini? Suluhisho...!?
Cc: Chief-Mkwawa
 
Back
Top Bottom