IT Guru
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 635
- 113
sijaweza pata solution mpaka....
Inaonesha kuna wengine walipata hilo tatizo Successfully rooted Galaxy Grand Prime SM-G5⦠- Pg. 12 | Samsung Galaxy Grand Prime | XDA Forums
Ila solution zilizotolewa hazikufaa kwangu....
Nawaza ku flash Stock ROM ila sasa mziki wake ni kwamba,nimetembelea hii site Firmware archive | Samsung Updates
katika hiyo List sijaona ROM inayooendana na nchi na wala inayoendana na Baseband version yangu G530HXCU1ANL4
je kuna hasara ku flash another baseband version?
Kama ipo ni ipi?
au je kuna site nyingine naweza kupata stock ROM ambako wana varieties za Baseband version zote au yangu ikiwemo?
Shukrani
=====EDIT=====
Nimeweza Kupata Baseband version kutoka sam mobile lakini sijui nichague ya Nchi gani
Maana Tanzania hamna ila nimeona South Africa na Nigeria etc
Firmware for Samsung SM-G530H - SamMobile
usiogope mkuu.baseband does not matter. ilimradi ni rom ya model ya simu yako basi unaweza flash kwa any baseband, any country