Ta-kibombo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 648
- 517
Nyingine sio hoja,ila hii nayo bado ina muda mfupi sana toka inunuliwe kwahiyo kama inaweza rekebishika inaweza kuendelea kutumika hasa kipindi hiki cha vyumaNunua nyingine [emoji41]
sawa mkuu wazo lako nimelipokea.Mkuu hii jaribu kuiflash kwanza ikigoma nunua nyingine .
jaribu kureset kwanza?, ikiendelea kuzingua...kama bado ina warranty peleka calcare(service center yao tecno+infinix),kama huna warranty jaribu kuiflash wewe mwenyewe(kazi ndogo) au peleka kwa fundi.Wakuu habari za uzima!naitaji msaada wenu jinsi yakulitatua tatizo la simu Mara kwa Mara inaleta mwanga mweupe bila kudisplay maandishi yoyote Yale mpaka niizime niwashe Mara kadhaa ndio inakubali napo haichukui muda kuendelea nalile lile tatizo.Aina ya simu ni tecno,ili tatizo limeanza gafla siku ya pili Leo.Kama kuna namna yakulitatua naomba msaada wa kimawazo.
jaribu kureset kwanza?, ikiendelea kuzingua...kama bado ina warranty peleka calcare(service center yao tecno+infinix),kama huna warranty jaribu kuiflash wewe mwenyewe(kazi ndogo) au peleka kwa fundi.
mkuu niepekeze namna yakuiflash mwenyewejaribu kureset kwanza?, ikiendelea kuzingua...kama bado ina warranty peleka calcare(service center yao tecno+infinix),kama huna warranty jaribu kuiflash wewe mwenyewe(kazi ndogo) au peleka kwa fundi.
vp, una compyuta(desktop/laptop)mkuu niepekeze namna yakuiflash mwenyewe
Kabla ya kulifanyia kazi hili wazo kwavile umesema simu umeinunua muda mdogo umepita si ina waranti? Rudisha kwanza dukani kabla hujaiflash.sawa mkuu wazo lako nimelipokea.