Kurecover documents katika simu baada ya kuiflash

MWANAMASOKO

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
211
92
Habari ya uzima. Kuna vitu nilikuwa na screenshot kwenye simu kisha naa upload kwenye Google photo. Ila sasa baada ya kuflash simu sizioni kwenye Google photo. Je nawezaje kuzipata?

Nikitaka kurecovering document za simu nafanyaje baada ya kuflash simu.

Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom