msaada;simu inaji-restart kila baada ya dakika chache

daisyvicky

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2012
Posts
343
Reaction score
198
Habari wapendwa..please nisaidieni..nina Samsung galaxy nexus..inajirestart kila baada ya few minutes..inaeza kua na shida gani???fundi kaiformart wapii
Kafungua kasema haoni tatizo...
 
baada ya fundi ku ifomat, ulivoiangalia ilikuwa haikuwa imebaki na app yeyote? unayo google acount?
 
Mimi nilikuwa na tatizo kama hilo. Nilidownload 360 antivirus na kuiscan, mambo yakawa shwari.
 
hamna any app mkuu..imefutika kila kitu...i think nnayo bt nashindwa kuingia kwenye app store wala kudownlod anythn
 
Mimi nilikuwa na tatizo kama hilo. Nilidownload 360 antivirus na kuiscan, mambo yakawa shwari.

mkuu siezi kudownlod anything na hii simu..naeza download kwa PC then nikaiscan kwa kuiunganisha na PC???
 
Hapana. Nilijaribu kufanya hivyo lakini ilikuwa haiwezekana kufanya kupitia kwenye PC. Sasa kama ni hivyo itabidi usubiri watu wenye utaalamu wa ku-restote hiyo operating system ya simu yako.
 
uuhh hali yangu mbaya..yani imeniboaaa..v lost kila kitu yani mweee..sijui ntafanya nn hata
 
Jaribu hivi. Set power on password. halafu ukishaiwasha ikitaka password kosea kuingiza mpaka iblock. Itataka google account. Ukiingiza ac itakuwa mpya!
 
saada wa mawazo wataalam

.sijasolv bado hili tatizo
 
wakati unaendelea kusubiri msaada ni vema ukaito betri hata kwa muda wa siku 5 ukiweza hata siku 7. Cm nying zina power server kwa ajili ya kutunza kumbukumbu. Yenyewe haiishi chaji kirahisi mpaka itengane na betri kwa muda mrefu (inategemea) ikiisha nguvu cm inaweza kupoteza memory na tatizo likawa solved. Usiwe na tamaa ya kuweka betri haraka kwani kuweka betri kunamaanisha kuichaji powerserver upya! vumilia kwa siku 5~7.
 
Aksante mkuu..I will try that..nakata tamaa aisee
 
Back
Top Bottom