Msaada: Simu inaingiza charge taratibu sana

Msaada: Simu inaingiza charge taratibu sana

Powerbank nyingi ni za kichina na hazifanyi kilichoandikwa. Umejaribu kuchajia simu nyengine inajazaje?

nimejaribu kwa simu ya ndugu yangu... huawei 530 simu yake inajaaa vizuri tuu bila hata shidaah.....
sijawahi kutumiaa simu yangu katika hizi power bank, .. je kama ntataka kununua power bank.. ni aina gani ambayo itafaa kwa simu yangu.....
 
Mi sijawah kuiona hio power bank nzuri huku kwetu, ni bora tu ununue extended battery au battery ya pili.

Tafuta na quick charge ndani ya nusu saa utapata charge ya kutosha
 
Mi sijawah kuiona hio power bank nzuri huku kwetu, ni bora tu ununue extended battery au battery ya pili.

Tafuta na quick charge ndani ya nusu saa utapata charge ya kutosha

pamojaa mkuu i appreciate..... ushauri wa battery linginee nahisi unanifaaa sanaa...
thanks...
 
Habari zenu humu ndani,, nina simu yangu ya tecno h 6 hivi karibuni imepatwa na tatizo la kuingiza chaji Pole Pole sana, yani unaweza ukaweka chaji masaa manne lakini ukakuta imeingiza asilimia 15 tu,, nimebadili betry lakini tatizo bado tu

nielewa vizuri, am talking from my experience,
tatizo hilo nalifaham sana,
umelielezea ila hujamalizia tatizo lote,
tatizo la simu yako ni hili "unachaji inafikia asilimia fulani inaanza kupungua charge" siyo inachaji pole pole tu,
wengine watakuambia virus wengine mengine but tatizo ni dogo,
nenda kwa fundi simu mzuri mwambie achomelee hapo kwenye system charge, pamelegea, wakati unachomeka charge na kutoa huwa unayumbisha hiyo place, inapelekea kubadili mfumo wake wa kuchaji,.
Jibu ni kwamba system charge imelegea na siyo ya kubadilishwa wala nini!
 
Hiyo chaji yako inaweza kuwa na tatizo tafuta chaji nyingine vote 5 kama bado itaendelea hivyo hivyo ujue itakuwa na tatizo la mkanda na huo mkanda sometime huwezi kuupata hadi umkute fundi ambae anajituma sana kwenye kazi ndio akupigie looping.
 
Ni tatizo hilo nione .simu yako model gani.nicheki kwa whatsapp 0754 60 45 67.nicheki nikuelekeze zaidi kwa matatizo ya simu nione.inapona
 
Back
Top Bottom