Msaada:Simu inagoma kufungua browser.

Davet

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
42,170
2,000
Habari wakuu
Naomba msaada wa kiufund kwa wataalamu,nina simu yangu inagoma kabisa kufungua browser yake ,simu yenyewe ni blackberry 9700.
Natanguliza shukrani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom