PC imezima ghafla

PC imezima ghafla

thomaskitomari

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
472
Reaction score
204
Habari za wakati huu wadau, naomba msaada kwa wataalamu wa computer. computer yangu imezima ghafla nimejaribu kutoa betri na kuirudisha tena lkn wap, nimejaribu kubadilisha adapter pamoja na betri kutoka kwenye pc nyingne ya aina hyo hyo ambazo ziko vizur lakin bado haijawaka, na haikuwa na tatizo kama hilo (NAOMBENI MSAADA WENU WAKUU UE IMEKARIBIAA)
 
itakuwa imepigwa short mkuu
 
ukichomeka chaji inawasha taa ya kuonyesha moto unaingia?
ukiiwasha inaleta mlio wowote ?
feni inazunguka ?
Kama vyote havitokei basi itakuwa imeunguza njia hio
 
Vyote hvyo havitokei mkuu wa kikosi,, duuh sasa hapa nafanyaje?
 
Duuuh sasa mwamba hapo solution nafanyaje? au ni nini kitakuwa kimeungua ili kama kinawezekana kubadilishwa nifanye mchakato?
had disk mkuu itakuwa imezingua nakama imezngua hapo hakuna namna ni kununua hard disk nyingine
 
ukichomeka chaji inawasha taa ya kuonyesha moto unaingia?
ukiiwasha inaleta mlio wowote ?
feni inazunguka ?
Kama vyote havitokei basi itakuwa imeunguza njia hio
Mkuu yangu inawaka vizuri tu ila baada muda screen inakuwa blank au muda mwengine inaji restart yenyewe.
 
hio inaitwa blue screen hilo tatizo mara nyingi linaletwa na windows Kucurupty hapo chakufanya badili windows maana hio windows yako inaonejana niyakitambo sana
 
Back
Top Bottom