Heshima zenu wakuu.
Simu yangu aina ya NOKIA ASHA 305, imekataa kabisa kuconect kwenye internet, Yaani si Email, Internet, Games (Store), Facebook, Chats.....yeyote mwenye msaada nitashukuru sana.
ndio tatizo lilipo hapo, inajaribu kujiunga lakini haiconnect! sio kama mwanzo ilikuwa inaconnect fresh tuNokia Asha nenda kwenye Applications fungua, ukisha fungua utaona features kama:- fb,tweeter,operamini n.k.
Ingia moja kwa moja itajiunga yenyewe.
Ufahamu wangu ndio unaishia hapo lakini nina imani utafanikiwa kwani hapa kuna wataamu wa kutosha kwa hilo swala lako ni dogo sana.
Heshima zenu wakuu.
Simu yangu aina ya NOKIA ASHA 305, imekataa kabisa kuconect kwenye internet, Yaani si Email, Internet, Games (Store), Facebook, Chats.....yeyote mwenye msaada nitashukuru sana.
Yaani bila shida, ninajiunga na MB za kutosha daily! yaani haionnect kbs