Msaada: Sifa za kusoma ualimu Grade A

Msaada: Sifa za kusoma ualimu Grade A

Somebody has to do it....! Asipopatikana MTU wa kuifanya mwanao, mjukuu, mdogo wako na wototo wa general public watafundishwa na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Lini Kazi Ya Ualimu Imemtajirisha Mwalimu? Kupanga Uwe Masikini Au Tajiri Ni Maono Ya Mtu Katika Mind Set Yake
 
Yaani Unataka Kusomea Ualimu Halafu Hujui Sifa Zake?
 
Yaani Unataka Kusomea Ualimu Halafu Hujui Sifa Zake?
 
Inakuaje Unataka Kuwa Mwalimu Halafu Usijue Sifa Zake? Kapekue Tovuti Ya Wizara Ya Elimu Utajua Huko
Inaonekana una hamu ya Ku quote na kuandika andika bila kusoma kwa umakini walichoandika wenzako. Soma mada na comments za wenzako kwa utulivu. (Hicho ulichoandika sijui unamrefer nani na hayo maelezo unaniandikia Mimi au aliyepost Uzi? Nadhani ume ni quote Mimi na unanirefer Mimi. Basi umekosea, kwa taarifa fupi degree yangu ya kwanza niliipata zaidi ya 15 years ago...sijui by then ulikuwa wapi na unafanya nini? Na tangia hapo I hold four degrees and a number of other qualifications. Nikutakie mchana mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Kujivunia Degree Nayo Ni Hoja? Wangapi Wana Degree Nchi Hii Na Hatuone Wakifanya Kutatua Matatizo Yanayoikabili Jamii Wanamoishi?
 
Hivi Kujivunia Degree Nayo Ni Hoja? Wangapi Wana Degree Nchi Hii Na Hatuone Wakifanya Kutatua Matatizo Yanayoikabili Jamii Wanamoishi?
Watu wenye degree nchi hii kwa taarifa niliyonayo ni less than 1%. Kwa nini usijivunie....ni achievement katika nyanja ya elimu. Sijui umetembea mikoa au vijiji vingapi nchi hii..! Kwa taarifa yako pamoja na mapungufu yaliyopo kuna hatua kubwa inapigwa katika kubadili maisha ya watu. Basi kama kutembea kunakuwa kugumu basi soma uone tofauti iliyopo at independence na leo....idadi ya shule, walimu, madaktari, maofsa wa vyombo vya ulinzi na usalama, mtandao wa barabara, umeme na maji, na uelewa wa watu kwa ujumla. Ukipata hizo takwimu urudi utupe mtazamo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Navyo jua kwa sasa wanasoma miaka 3 na wanatoka na astashahada ya elimu msingi. Kwa hiyo daraja la IIIA haipo

Sent using Jamii Forums mobile app
wamefuta hiyo so wamerudia tena kuchukua grade A ila sifa ni div3,2 na 1 tu......
 
Hao wanaolipoti wameajiriwa ama
sio kweli mkuu hii diploma ya ualimu wa primary ilianza rasmi kutolewa na vyuo vya serikali kuanzia mwaka 2014 hivyo wamegraduate mwaka 2017 hawa bado wapo mtyaani ila walioajiririwa tayari ni zile intake zilizopita za 2014,2015,2016 ambazo zote ni grade A iwe awali au msingi,nafikiri mpaka sasa serikali imeajiri nusu ya wahitimu wa 2015 hivyo wakimaliza hii intake wanaofuata ndio hao wa 2017 maana katika mwaka wa 2016 vyuo vya serikali havijatoa wahitimu katika kada hii ya ualimu ngazi ya astashahada na stashahada
 
Ili usionekane muongo, tupe chanzo cha taarifa yako.
Huko sahihi ndio maana nikasema kwa taarifa "niliyonayo". Pamoja na hayo wewe kama mtu kwenye uelewa wa kawaida unapaswa uchukue hiyo kama taarifa chokonozi uanze kupekua vyanzo mbalimbali ili nikupa chanzo changu uwe na cha kulinganisha nacho au uweze kuona reliability na credibility yake ....otherwise nikutakie usiku mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna jipya.
Huko sahihi ndio maana nikasema kwa taarifa "niliyonayo". Pamoja na hayo wewe kama mtu kwenye uelewa wa kawaida unapaswa uchukue hiyo kama taarifa chokonozi uanze kupekua vyanzo mbalimbali ili nikupa chanzo changu uwe na cha kulinganisha nacho au uweze kuona reliability na credibility yake ....otherwise nikutakie usiku mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom