Msaada: Sifa za kusoma ualimu Grade A

Msaada: Sifa za kusoma ualimu Grade A

Ile IV26/27 haipo kwa mabinti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa habari za mabinti sijui warembo hazipo na achananazo usizifikirie...
Ndalichako anachotaka ni vigezo stahiki vya kozi husika..
Hzo four za 26/27 zilifutwa toka 2014 na kuna baadhi ya vyuo vilivyoleta ukaidi vilifungiwa na kufukuzwa wanafunzi pia
 
Write your reply...mwisho ni points 27
 
vigezo ni, uwe mkali, uwe muoga muoga, uwe unaungaunga mkono juhudi, uwe tayari kufanya kazi mpakani huko..........nawatania walimu wangu
 
Back
Top Bottom