Msaada sielewi hii notification

Msaada sielewi hii notification

middo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
207
Reaction score
56
Habar wadau,

Kwa siku kadhaa sasa nmekua nikipokea hii sms kwnye simu yangu hata sijui chakufanya, nikiingia setting sielewi nifanyeje! nikicancel inajirudia. Naombeni msaada ni nini hiki na kinataka nii?

Natumia Huawei y530
 

Attachments

  • 1414597532820.jpg
    1414597532820.jpg
    23.1 KB · Views: 176
Unataka ku download applications nje ya play store inayohusiana na simu yako ndio maana.

Software ambazo sio kampuni ya simu yako ndio zinakuwa blocked na simu yako for safety reasons. Kama unataka kutoka nje ya products za simu husika unaweza ingia mahala na kuondoa hiyo command ila hautakuwa salama na simu yako kwa application utakazo download zaweza harubu simu au kukuletea virus .

Nadhani umenisoma.
 
Huwa kikawaida simu mpya zinazotumia android ya google huwezi kuinstall apps nje ya playstore. warning hio imekuja sababu umedownload apps ya android kwenye website nyengine.

kutoa hilo tatizo bonyeza setting kama ilivyotookea kwenye picha then tick unknown source itatokea message ya warning kubali then utakuwa umesolve kesi yako
 
Tatizo ni kwamba sikumbuki kama nilishawai jarbu kuinstall app nje ya playstore, ndo mana nakua kama sielewi hii notification imetokea wapi!

Nilijarbu kuchange na kuruhusu installation ya apps nje ya playstore baada ya kuona hii sms ila baada ya mda nkapata notification nyengine inayoonesha kuna error during installation! tatzo sijui ni app ipi inayodemand kuwa installed !
 
Hii ndo notification niipatayo baada ya kutick unknown source.. CHIEF MKWAWA
 

Attachments

  • 1414600222314.jpg
    1414600222314.jpg
    17.6 KB · Views: 122
Last edited by a moderator:
Hii ndo notification niipatayo baada ya kutick unknown source.. CHIEF MKWAWA

Tafuta file manager open file tokea kwenye file manager, kama simu yako imekuja na file manager nenda sd card then download utaliona file lako open,

kama simu haina file manager nenda playstore search es file manager then download halafu ifungue kisha nenda downloads kuopen hilo file lako.
 
Inatokea wakati unafanya nini? Na hiyo icon hapo juu kwenye notifications ni ya Application gani?
 
huwa kikawaida simu mpya zinazotumia android ya google huwezi kuinstall apps nje ya playstore. warning hio imekuja sababu umedownload apps ya android kwenye website nyengine.

kutoa hilo tatizo bonyeza setting kama ilivyotookea kwenye picha then tick unknown source itatokea message ya warning kubali then utakuwa umesolve kesi yako

Mkuu kwanz am glad nimekuona hap nna tatizo na galaxy s2 GT i9100 hii cm cjajua ina tatizo gani maana kila nikiingia playstore inagoma inaandika connection timed out nimejaribu kubrowse kutafuta different solutions bt zimegomaaa bt nkishare wife kutoka kwenye cm nyingine inafunguka fresh tuu

Msaado hapi mkuu
 
Back
Top Bottom