Kwani pravate nazo huwa zinajaa ,au ni hela yangu tu??Hawezi kutoka day aingie boarding na sio bonding ndg, sheria hiyo imekuwepo muda mrefu sasa kwa government labda apate shule day lakini zina hostel .vinginevyo mpeleke za binafsi private japo kupata nzuri muda huu umeshachelewa sana
Asnte nimekuelewaa mkuuShule nzuri za Serikali ni:
I/ Vipaji Maalum kama Tabora girls, Weruweru etc
2/ Shule za Ufundi kama Tanga, Moshi etc
3/ Za Bweni kama Songea na Korogwe girls etc
Ila bahati mbaya wote hao wamechukuwa wastani wa "A" hivyo ili upate nafasi ni lazima uvae Shati la Mikono Mirefu!
Moshi sio mkoa,inaonekana mzazi mwenyew chenga mno.Wadau wa Jf ,nina mtoto wa kike kamaliza darasa la saba , sasa wamempaga shule ya kata ,shule yenyewe haifanyi vizur kabisa,na mtoto wangu uwezo wake ni mzuri kiasi ,amepata wastan wa B ,kwa maana ya
Eglish A
Kiswahili A
Hisabati B
Sayansi C
Study's c
Kwa matokeo hayo natamani nipate shule ya govement ya bonding na iwe ya girls. Ambayo ni nzuri ,napendekza mikoa minne ,singida ,arusha, moshi, na manyara ,au dodoma pia ,mm nipo manyara ,babati mjini,
Nisaidie kujua shule nzuri na kuweza kumpeleka mtoto ,maana hata yeye anasema baba mm nataka kusoma sana lakin nitafutie shule nzuri ya bonding, shule aliye chaguliwa ni ya day ,kata, Asante mwenye kufahamu shule nzuri anisaidie jina la shule ,kama unamawasiliano ya shule husika pia nitashukuru sana ,
Una akili fyatu...Tangu Lin st. Schools zikawa za govt?Mpeleke St Mary's Mazinde Juu Lushoto Tanga
Weruweru sio vipaji maalumu...za vipaji ni tabora girls,kilakala na msalato plus na kisimiri though ni mixtureShule nzuri za Serikali ni:
I/ Vipaji Maalum kama Tabora girls, Weruweru etc
2/ Shule za Ufundi kama Tanga, Moshi etc
3/ Za Bweni kama Songea na Korogwe girls etc
Ila bahati mbaya wote hao wamechukuwa wastani wa "A" hivyo ili upate nafasi ni lazima uvae Shati la Mikono Mirefu!