Msaada Shule ya Sekondari inayofundisha michezo

Msaada Shule ya Sekondari inayofundisha michezo

Sibaru

Member
Joined
Aug 29, 2017
Posts
47
Reaction score
45
Wakuu ninaomba mtu anayefahamu Shule ya Sekondari ya Bweni inayofundisha michezo pia iwe nzuri kwenye taaluma. Kijana wangu anamaliza Darasa la Saba na anapenda sana michezo na anacheza Mpira wa Miguu na Kikapu.

Shule iwe kati ya Dar, Morogoro, Pwani, Iringa, Mbeya na Tanga na ada isizidi 1,500,000.

Asanteni.
 
Kijana anaonekana ana kiu ya kufika mbali kwenye michezo, ongera kwa kumuunga mkono kijana
 
Hiyo bei uliyoandika ni ya mwaka mzima au term!?
Ila pia mtoto akifaulu vizuri kuna shule za serikali zenye michezo mf: Ilboru na Tanga tech
 
Back
Top Bottom