Bususwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 468
- 1,132
Hivi kwa nini Pwani ina shule nzuri sana?? Lakini wakazi wa pwani sio watu wa shule kivile??Juzi jummamos nilimpeleka ahmes secondary school ya bagamoyo kwa interview lakini wanafunzi walikuwa wengi Sana sijui Kama atapata pale aise.
1. Kibiti secondary school
2. Kibaha secondary school
3. Bagamoyo secondary school
1. Marian boys secondary school
2. Marian girls secondary school
3. Ahmes
Na wengine wenye kujua zaidi ongezeni! Kuna moja ipo Kisarawe nimeisahau jina!